alphaigogo.com
Mother and daughter moment - alphaigogo.com
Lucy na binti zake wakiwa nyumbani kwao wakifurahiya mapumziko ya boxing day! Wao ni wakazi wa Dar. Nani kama mama?! Safi sana, mbarikiwe wapendwa...................Lucy pole sana kwa msiba wa bibi. May she R.I.P.
Alpha Igogo