alphaigogo.com
Mother and daughter moment - alphaigogo.com
Mama na mwana! Dr Victoria Kisyombe na binti yake Janet Kisyombe. Ngoja niseme ni jinsi gani niliwafahamu mama na mwanaye..... Janet na mimi tulikutana na kujuna miaka ya nyuma nilipohamia mji wa Wichita, Kansas. Alikuwa ni rafiki ya kaka yangu aitwaye Joseph. Sasa katika maswala ya kutaka ride kaka yangu alimuomba Janet anisaidie kwani mimi nilikuwa sina US driving license. Basi
Alpha Igogo