alphaigogo.com
Mother and daughter moment - alphaigogo.com
picha nzuri sana ya Hawa na watoto wake. Wamependeza sana na kama tujuavyo Christmas ipo njiani. Basi wao walienda kutembea mall wakakutana na Santa wakaona si mbaya kupata kumbukumbu naye! Mbarikiwe sana.
Alpha Igogo