alphaigogo.com
Mother and son moment - alphaigogo.com
Mama akifurahiya kijana wake kurudi nyumbani baada ya kumaliza elimu ya Secondary (Form 4). Hongera sana mama kwa kulea, na pongezi nyingi kwa kijana kwa kukazania elimu. Mbarikiwe wote!
Alpha Igogo