alphaigogo.com
Mother and daughter moment! - alphaigogo.com
Mimi hapa na mommy angu hapa ni siku ya Juma Mosi iliyopita tukiwa nyumbani Keko Juu teyari kwa mtoko wa harusi ya mtoto wa jirani yetu and a good friend to mama…….Jamani sasa hivi tunaishi mbali hivyo tukitaka kwenda kwenye sherehe za maeneo ya Tabata, Mbezi n.k inatubidi tulale kwenye mji wetu wa zamani (Keko Juu) kwani wakati wakurudi kuna kuwa
Alpha Igogo