alphaigogo.com
Mother and daughter moment - alphaigogo.com
Mwamvita Makamba na binti yake Malaika. Wamependeza sanaaaaaa! Hii ilikuwa juzi kati siku ya 10th birthday ya Malaika. Walinoga mno!...........jamani mimi ukija kwenye mambo ya 'theme' za birthday za watoto ni sijui kabisa! Nafikiri pia mimi kutokuwa mtu wa party-party imechangia zaidi. Basi hapa idea tu sina kuwa hii ilikuwa theme ipi ?? ngoja ni confess ??sijawahi kumfanyia mwanangu birthday party
Alpha Igogo