alphaigogo.com
Mother and son moment - alphaigogo.com
Zion! Zion! Mbona huu mzuri hivyo jamani? Ee Mwenyezi Mungu mlinde huyu mtoto umfunike kwa damu yako. Amen! I can imagine Dina anajisikia furaha ya nmna gani moyoni mwake! Najua hilo kwani hata mie saa nyingine nikimwangalia binti yangu nasikia furaha sana moyoni nasema Asante Mungu kwani umenibariki sana!........Ubarikiwe sana Dina na famili yako! Japo sikupata jina la
Alpha Igogo