alphaigogo.com
Motherhood! - alphaigogo.com
Wow! Wamependezaje jamani? Dada yangu kipenzi Esther Kachare na wanawe. Wazurije sasa! Na furahia sana kuona watu ambao tunafahamiana toka utoto, tumependa na kuishi kama ndugu, na bado mpaka leo hii tunapendana na kuthaminiana bila kinyongo! Mwe, sijui niseme ??? familia ya mzee Kachare inamkono wa baraka katika maendeleo ya familia ya mzee Otty Igogo ?? undugu ni kufaana sio
Alpha Igogo