alphaigogo.com
Mrekebisha tabia: Vyovyote vile utamchukulia lakini kwa wengine wengi bado anakuwa hero - alphaigogo.com
Regrann from @mrekebishatabia - Kuna watu humchukia Mange Kimambi kwasababu mbalimbali.. Wengine sababu binafsi, wengine basi tu, wengine misimamo yake nk.. Vyovyote vile utamchukulia lakini kwa wengine wengi bado anakuwa hero. .. Yes ni Shujaa! Vyama vya upinzani vimeshindwa kupanga wanachama wao.... Wanaharakati wengi wameishia njiani.. Wengine wamejikita kwenye vyama na kusahau wajibu wao nk nk... But
Alpha Igogo