alphaigogo.com
Mtarajiwa wetu katika pozi! - alphaigogo.com
Jumapili ndio siku yake kuu, hivyo naomba nitumie siku hizi mbili kwa ajili yake ?? Huyu ni dada yangu bwana na furaha sana kwa ajili yake. Yani nyie siku nikifunga harusi yani ni miezi mitatu picha zangu tuu ?? mtakomaje sasa ?? Akikata keki iliyotenezwa kiumaridadi kabisa Tulimpa zawadi chache lakini zauwakika! Ni zawadi ambazo atakuwa anatumia mara nyingi, ubora
Alpha Igogo