alphaigogo.com
Mtu kwao! - alphaigogo.com
Mtu kwao jamani! Namshukuru sana Mungu kwa kumfikisha mama salama Tanzania. Aliondoka siku ya Jumapili na sasa yupo Bongoland akifurahi na ndugu zake na familia yake. Hapa ni akipiga soga na shemeji yake (baba yangu mkubwa) Mzee Charles Olung'a Igogo nyumbani kwake baba mkubwa. Mama yangu huwa anasafiri lakini mara nyingi baada ya siku kadhaa au wiki anakuwa amerudi nyumbani, hivyo kukaa
Alpha Igogo