alphaigogo.com
Muacheni Mungu aitwe Mungu! - alphaigogo.com
I am over the moon about this! Yule Shemeji yetu ambaye walimwita mission town (SomaHapa) mume halali wa Zamaradi Mketema ndio anafanya hii miujiza eeh?! Hata miezi SITA haijafika mibaraka imeshaanza kumwagika namna hii!! Ndoa zilizo chagulia na Mungu utazijua tu, wengine miaka kumi lakini bado wanaangaika na pesa ya kulipa rent ???? Kweli muacheni Mungu aitwe Mungu!!! Mume /
Alpha Igogo