alphaigogo.com
Muhtasari -sehemu ya mwisho: Jambo lililo umiza moyo wangu! - alphaigogo.com
Maisha yamejaa changamoto ambazo hazikwepeki, na mbaya zaidi zinakuja bila taharifa. Mwezi wa kumi.mwaka huu dada yangu mkubwa (pichani juu) alipatwa na ajali ya kuungua moto. Akiwa hospitalini Nisingependa kuelezea undani wa ajali hii kwani huo ni ushuhuda wake yeye, mimi namshukuru Mungu kwa miujiza ya uponyaji wa haraka ambao kwa imani yetu haba hatukuweza kuona ukija. Hali ilikuwa mbaya
Alpha Igogo