alphaigogo.com
Muhtasari-sehemu ya saba: Kwaheri si neno rafiki sana. - alphaigogo.com
Janeth, Alpha, Magreth, na Guka ikafika muda wa kusema 'kwaheri' neno ambalo si rafiki kwa vinywa vya watu wengi kwasababu ya uhalisia wa neno hilo! Basi hii ndio ilikuwa siku yangu ya mwisho Tanzania kwa mwaka 2022. Pichani kutoka kushoto ni mdogo wangu Janeth (mzaliwa wa nne), mimi mwenyewe mtu kati hapo (mzaliwa wa tatu), Magreth Nyasungu (mzaliwa wa
Alpha Igogo