alphaigogo.com
Muhtasari wa kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Mercy. - alphaigogo.com
Birthday girl herself Siku ya tarehe 02, 04, 2023 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya mfanano wa siku ya kuzaliwa mwanangu Mercy. Birthday girl akiingia kwenye mgahawa Kama video inavyo onyesha hapo juu 👆🏿 Alianza kusherekea siku moja kabla ya siku yake maaalum kuwasaili, ambayo siku hiyo ilikuwa ni Jumosi ya tarehe 04/01/2023. Sambamba na marafiki zake walikuwa pamoja
Alpha Igogo