alphaigogo.com
Muwe na wiki njema: Mchumia juani hulia kivulini! - alphaigogo.com
Mchumia juani hulia kivulini!!.......... Najua kwa wenzangu wa Tanzania na East Africa au Africa kwa ujumla sasa hivi ni asubuhi siku ya JumaTatu, watu wameanza na maangaiko ya wiki pamoja na kufanya kazi! Basi naomba niwakumbushe kuwa tafuta tena kwa bidii zote lakini kiwe halali siyo vya mkato wa njia za
Alpha Igogo