alphaigogo.com
Mwanamke wa kwanza kuzama mgodini kuchimba Tanzanite! - alphaigogo.com
Wakwanza tena Mtanzania siyo raia wa kigeni! Wow! Siku zote nasikia wanawake ambao wapo kwenye biashara ya kuuza madini au hata kwenye kazi ngumu kama kubeba zege au kupasua kokoto. Lakini sikuwahi kusikia hata kuwaza kuna mwanamke ambaye anaingia ndani ya migodi kuchimba madini!...........Kweli wanawake nsi tunaweza.! Can you imagine ni vitu au mambo mangapi ilibidi a sacrify ili afanye
Alpha Igogo