Mwanaume kuwa na nyumba peke yake si tija…..!

Nakubaliana na Lemutuz kwa maneno aliyo andika hapo  chini lakini naomba niongezee kwa kusema kwamba; mwanaume kuwa na nyumba peke yake si tija bali kuwa na mji wako ndio mambo yote! Mwanaume sharti uwe na mji wako ndio utaheshimika! Hili hata kwenye Bible (kwa site tunao amini Bible) imesema. Siyo tu kufanya starehe halafu una lala na kuamka kwenye mji wa mwanaume mwenzio, kwani wewe unamatatizo gani?! Mwanaume kuuza sura hakukupi heshima au kukyongezea thamani yoyote bali kunaonyesha jinsi gani ulivyo na Itilafu kuchwani au mahala "fulanai" mwilini mwako!! Napia kuwa na nyumba nyingi kuna kufanya kuwa "baba mwenye nyumba" lakini hakukufanyi kuwa Baba Mwenye Mji (home)!! Kwa  mwanaume  kupata uwezo wa kusema nina kwangu au nina mji wangu lazima uwe na MKE!! Sijasema Kimada au Vimada hapana! MKE! Mwanamke uliyemuoa kihalali kwa kufata taratibu halali za kidini au lisheria! Nawala siyo mwanamke wa kufichia status kwa social media. Lasivyo hizo nyumba zako zinakuwa hazina uzito sana!! Nyumba hata Kunguni wanazo ?? Hivi bado kuna ndoa za kimila karne hii  ??Just asking ??Regrann from @lemutuz_superbrand  -  FACT: Hapa mjini kuna Baba mwenye nyumba ...sio Baba mwenye wabebez au magari na nguo ...hahahahahahaha.....NI BABA MWENYE NYUMBA TU! .....tuleni Batazzz lakini TUJENGE...Case Closed ....U know! - @lemutuz_superbrand  - #regrann

Leave a Reply