alphaigogo.com
Hadithi ya dada yangu Grace-AnyangoNyoyoo! - alphaigogo.com
??? acha nicheke kwanza lol! Je kwenye familia yenu mlishawahi kufanyiwa surprise ambayo kidogo iwatowe roho?! Basi huyu dada yangu alishawahi kufanya hivyo. Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa ambaye alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya bibi yangu mzaa baba. Huyu dada yangu anaitwa Grace (official name), Anyango Nyoyoo (Jina la kilugha alipewa la bibi yake mzaa mama
Alpha Igogo