alphaigogo.com
Namshukuru Mungu - alphaigogo.com
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumponya mama yangu. Mama alikuwa anaumwa, huwa anasumbuliwa na Allergies pamoja na Asthma huwa anapata tabu sana especially majira ya joto kali. Hivyo for the past two weeks hali yake aikuwa nzuri sana lakini sasa anaendelea vizuri. Hapo ni siku ya Ijumaa Mrs Zou Fu Qiang alienda kumtembelea. Yeye ni family friend wetu. Tushukuru na
Alpha Igogo