alphaigogo.com
“Naombeni your support and love kama mlivyoniweka hapa nilipo leo” ~~~~ Idriss Sultan - alphaigogo.com
Nimetoka katika maisha ya kupewa sh 500 kwa wiki, nimetoka katika maisha ya kupigana kujifunza kiingereza kupitia vitabu na movie na kuongea na watu mpaka naonekana labda nimetoka maisha mazuri ila nilikua shule ya serikali kama wengine, nimeambiwa siwezi mengi nimeshushwa nimetukanwa nimekatishwa tamaa nimepigwa nimefungiwa milango ila naomba niseme maumivu yote nimeyaelekeza kwenye kuonyesha upendo tu na kunyamaza kwa
Alpha Igogo