alphaigogo.com
Nawatakieni weekend njema + prayer dedication - alphaigogo.com
Wapendwa wasoma wangu, nawatakieni weekend njema, iliyo jaa upendo, amani, na furaha tele! Mbarikie wote katika jina la Bwana! Pia naomba tukumbukane katika sara zetu, haswa naomba muwaweke my dearest friends (the Nyongos') kwenye sara na dua zenu. Mtoto wao mdogo amefanyiwa surgery ya kichwa (aliye bebwa na mama yake). Lakini Mungu yu mwema, anaendelea vizuri sana kwasasa japo bado
Alpha Igogo