alphaigogo.com
Nawatakieni Mwaka Mpya mwema! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, ndugu, jamaa na marafiki. Napenda kuwatakieni kheri ya kuufunga mwaka 2015 na kufungua mwaka 2016. Nasema asanteni sana kwa kutembelea hii blog bila kuchoka, sina cha kuwalipa zaidi ya asante. Naomba mnisamehe wale wote niliyo wakwaza kwa namna moja ama nyingine. Sidhani kama nilikusudia kumuumiza mtu na sina huwakika kama nimemuumiza mtu yoyote! Lakini kama binadamu huwezi
Alpha Igogo