alphaigogo.com
Nawatakieni weekend njema - alphaigogo.com
Leo nimeamua kujiweka mie mwenyewe mzima mzima ?? picha hii nilipiga June 26, 2015 Kalamazoo, Michigan ila kuna some changes nikiangalia na nilivyo sasa? nimenuna kwasababu nilikuwa na njaa halafu mtu fidenge alikuwa anachelewa kutoka ndani na yeye ndo alikuwa driver. Kana kwamba haitoshi katoka nje ya mlango na kunipiga picha ??.............. Haya nawatakieni weekend njema. Mbarikiwe wote. N.B: Hauwitaji kuweka
Alpha Igogo