alphaigogo.com
Nawatakieni weekend njema na Shukran! - alphaigogo.com
Mungu yu mwema sana mdogo wangu ā˜anaendelea vizuri kabisa na pia baby Georgina Faith ? (picha ya cute Georgina Faith ni ya last month kabla ya surgery) anaendelea vyema. Shukran kwa dua na sala zenu. Ahimidiwe Mungu Baba muumba wa Mbingu na inchiMungu awabarikiwa na atulinde sote. Muwe na weekend njema sana and Happy Sabbath to my fellow believers! https://youtu.be/gIPMllUV12o
Alpha Igogo