alphaigogo.com
Nenda kapime: Breast cancer awareness month! - alphaigogo.com
Haya wakina mama na wadada wote! Huu ndio ule mwezi wa kuangalia afya za breast zetu ilikuzuiya ongezeko la kansa ya maziwa kwa kina wanawake!......,.........Kwakweli sitaki kuwa muongo kwani mie binafsi ni miaka sasa tangu nimepima mara ya mwisho. Lakini mwezi huu lazima nipime! Sijui kwa Tanzania ni sehemu zipi wanapima bila malipo; hivyo nakuomnba uwasiliane na Nancy Sumari ili
Alpha Igogo