alphaigogo.com
Nesi Wangu:Harriet Shangarai RN,BSN - alphaigogo.com
Harriet Shangarai ni Mtanzania aishie Maryland, U.S.A Yeye ni Registered Nurse (RN) mwenye Bachelor degree of science in nursing (BSN). Harriet pia ni mmiliki wa blog ya nesiwangu.com, ambapo katika blog hiyo anaongelea na kufafanua magonjwa mbali mbali kwa njia ya lugha ya Kiswahili kwani yeye anaamini information is powerful (yani kuwa na ufahamu juu ya jambo linakufenya au linakupa
Alpha Igogo