alphaigogo.com
New song: Zezeta by Rayvanny! - alphaigogo.com
Mimi #Zezeta zezeta! Huu wimbo ni mtamu sanaaaaaa! Namshukuru my Muhaya kwa kunitumia huu wimbo lakini bado najiuliza sijui kati yangu mimi na yeye nani #Zezeta kuliko mwenzake ???? au ni Ma-double Zezeta ?? ............Honestly, Rayvanny hajawahi kuniangusha na nyimbo zake. Nimeusikiliza huu zaidi ya mara tano, na hata bado hamu haijaniisha! Safi sana! ?? https://youtu.be/C_cp5lJ6VY4
Alpha Igogo