alphaigogo.com
Ni kiburi cha pesa au nikweli ana haki ya kumshtaki? - alphaigogo.com
Watu huwa wanasema kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mtu subiri akipata pesa au akipata nafasi ya kuwa kwenye position ambayo inampa power (madaraka ya juu). Kuna baadhi ya watu wakiwa na maisha ya kawaida au nafasi za chini kwa sababu fulani huwa wanapenda sana ku pretend na kuonyesha tabia ambazo si halisi najinsi waliyo. Matendo yao huwa nitofauti na
Alpha Igogo