alphaigogo.com
“Ni matarajio yetu kwamba nauli itashuka”- Shy-Rose Bhanji - alphaigogo.com
Pongezi nyingi zimfikie Kamanda Mkuu Rais JPM kwa uamuzi wake wa kufufua Shirika la Ndege Tanzania-ATCL. Ni faraja kuona ndege 2 mpya baada ya kilio cha wengi kutaka usafiri wa ndege upatikane kila kona ya nchi. Ni matarajio yetu kwamba nauli itashuka na huduma itakuwa ya uhakika. Ni faraja kwamba sasa tutaanza kufanana na nchi wenzetu wanachama wa EAC ktk
Alpha Igogo