alphaigogo.com
Nijambo jema lakini linasikitisha na kuogopesha! - alphaigogo.com
Miaka ya hivi karibu tumeshuhudia vijana wengi wakijiunga na vyama siasa na kua active katika shughuli za kila siku zinazo husiana na siasa na wengine hata kugombea uwongozi katika ngazi mbali mbali za uwongozi kama ubunge. Ni jambo jema sana kuona vijana wakijuhusisha na mambo yanayohusu maisha yapo pamoja na maendeleo ya inchi yao japo ukitizama kwa karibu linasikitisha na
Alpha Igogo