alphaigogo.com
Nilifundishwa…………..! - alphaigogo.com
Soma Comments kwa Masomo Mengi zaidi...... Nilifundishwa Kupenda: Nimejifunza kujipenda Mimi kabla sijatoa mapenzi kwa wengine. Mimi kwanza. Jipende na Utapendwa. Sio tu lazima Upende usikopendwa. Hata asiekupenda Mpende. Nilifundishwa kuheshimu Wakubwa, hasa baba na Mama: Nimejifunza Kuheshimu Watu wa aina zote, bila kujali umri, jinsia, Utaifa, Uwezo wa aina zote. Tajiri Masikini, Kila Binadamu Mpe Heahima yake. Lakini Pia Jiheshimu
Alpha Igogo