alphaigogo.com
“Nimechoka, sitakubali kuendelea kuona wanangu wakisononeka na sitakaa kimya.” *** Jacqueline Mengi - alphaigogo.com
Naam! Hayo ni maneno yake mwenyewe Jacqueline Mengi aliyekua mke wa marehemu Billionaire Dr Reginald Mengi. Ujumbe huo aliandika kupitia account yake ya Tweeter na pia ku-share kwenye Insta-story yake! Kuna wengi wamemsapoti na kuhuzunika naye kitu ambacho kinaonekana kimemfariji Jacqueline hata kuandika tena ujumbe mwingine wa kushukuru leo hii kwa kutumia Insta-story yake (soma ????), Ujumbe
Alpha Igogo