alphaigogo.com
NIMEKUENZI FIDEL CASTRO KWA JINA LAKO-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Kuna watu hawawezi kupotea dunia kwa sababu ya alama walizoweka wakati wa maisha yao. Mmoja wa watu hao ni aliyakuwa muasisi mkombozi na raisi wa kwanza wa CUBA Fidel Castro. Fidel Castro alifanya jambo ambalo lilifanywa na watu wa zamani waliokuwa na ujasiri mwingi, uthubuti mwingi, uzalendo mwingi, utu mwingi na maono ya kuifanya nchi yake ijitegemee. Hawa ni kizazi cha
Alpha Igogo