alphaigogo.com
NIMESHAWAHI KUWA MWANAFUNZI, MWALIMU NA SASA NI MZAZI- Peter Sarungi - alphaigogo.com
Tusiishie kuwalaumu walimu pekee......... Siku kadhaa zilizopita mitandao yetu ilipatwa na mshituko kwa video iliyosambaa inayoonesha mwanafunzi akipata kipigo cha kuheshimiana kutoka kwa walimu zaidi ya tano. Video hiyo ilifanya wananchi wahoji na kushutumu usimamizi wa mfumo wa elimu nchini. Kalele zilizopigwa ziliwachanganya wanasiasa na viongozi hadi baadhi yao wakafanya maamuzi magumu na ya gafla na hata ya kuharibu maisha ya
Alpha Igogo