alphaigogo.com
“Mtoto ulelewa na kijiji” - alphaigogo.com
Wanasema kazi ya kulea mtoto ni kazi ya kijiji. Binafsi sina huwakika na maana halisi ya msemo huo. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba, waliotunga hawa kufafanunua mwisho wa mipaka ya malezi hayo ambayo kijiji kinapaswa kumpa mtoto, haswa ukiwa hauna huusiano wowote na mtoto huyo. Kwa mfano, ni vizuri kusaidiana, lakini sidhani kama kuna mzazi atakubali kuona mtoto wake anapewa
Alpha Igogo