alphaigogo.com
Nyalandu ang’atuka! Abwaga manyanga ya CCM! - alphaigogo.com
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Mwanzoni ilikuwa ni hisia, baadaye dalili zikaonyesha, na sasa yametimia! Mh. Nyalandu Mbunge wa Singida Kaskazini katangaza rasmi kung'atuka nyadhifa zote ndani ya CCM na kubwaga manyanga ya chama hicho pamoja na ubunge wao! Ameyasema hayo kwa kupita Instagram page yake kama inavyosomeka hapo chini ?? .......Mmh! Mimi siyo mwanasiasa hivyo I will respectfully reserve my
Alpha Igogo