alphaigogo.com
“Omba Mungu akukutanishe na patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo”-Joyce Kiria - alphaigogo.com
Omba Mungu akukutanishe na Patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo... Siyo mpaka umkumbushe wajibu wake, Eti umsukumesukume kulipa bili za mahitaji ya nyumba!! Real????, jamani wengine hawana kasumba ya kuombaomba, so anakuangalia tuu kwa dharau jinsi unavyojitoa fahamu kutohudumia nyumba yako mwenyewe..... Omba upate Patna ambae asipohudumia familia yake kwa changamoto za maisha anakosa Amani moyoni mwake, lakini anapambana
Alpha Igogo