alphaigogo.com
our very first female Vise President!! - alphaigogo.com
What a joy! Watanzania kwa mara ya kwanza wamemchagua Makamu wa Rais mwanamke! Hili nitukio la kihistoria katika nchi yetu ambayo hajawahi kuwa hata na Waziri Mkuu mwanamke!! Hii ni ishara ya ukombozi wa fikra kwa jamii yetu kuwa wanawake nao wanaweza! Hongera sanaaaaaa Mh. Samia, najua utalitumikia vyema taifa letu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa na watu wake.
Alpha Igogo