alphaigogo.com
Pete ya ndoa ni pingu ndogo, chagua mfungwa mwenzio kwa makini! - alphaigogo.com
Mr and Mrs Mali Kimesera katika ubora wao! Wamependeza eeh! Hadi raha sana! Wamechaguana, wakawezana!............... Sasa ninekutana na hii msg nikaipenda:>> Eti kuwa pete ya ndoa ni pingu ndogo sana ambayo ni ya umilele hivyo tafakari sana. Chagua mfungwa mwenzio kwa makini na ujihukumu kwa busara ili kuhepuka kutoroka gerezani! ???? #ChapterClosed >>>>>>>
Alpha Igogo