alphaigogo.com
Peter Sarungi atoa shukrani zake za dhati! - alphaigogo.com
HITIMISHO LA HATUA ZA KUELEKEA KUWA SPIKA WA BUNGE: KURA HAZIKUTOSHA. Ndugu jamaa marafiki na wadau wangu wote na popote walipo, nitoe shukrani zangu za dhati kwa sappoti yenu toka nilivyoanza hatua ya kwenda kuwa spika wa bunge. Ki ukweli nimefarijika sana na mapenzi yenu makubwa kwangu na kunichangia kwa hali na mali pamoja na ushauri mliokuwa mkinipa na kunifariji. Nilikwenda
Alpha Igogo