alphaigogo.com
Picha iliyo nivutia zaidi - alphaigogo.com
Ka baby haka nimekapenda sana. Mzurije sasa! Picha zake ndio zimenivutia zaidi siku ya leo..........Not sure kama yeye ndiyo anaitwa Kourtney au mama yake, Mungu amlinde na kumjalia mema yote ya hii dunia?? .......Glory and honor be to God!
Alpha Igogo