Picha katika 50th wedding anniversary ya Mr and Mrs Mkapa

FB_IMG_1472582177566FB_IMG_1472582053698 Wajukuu wakiwa na nyuso za furaha wakisubiria kushudia historia ya maisha ya ndoa ya bibi na babu.FB_IMG_1472581909432Familia ya mzee Mkapa ikiwa katika ibada takatifu ya shukrani kwa Mungu katika kuwawezesha wazazi wao kudumu katika angano takatifu kwa miaka 50! FB_IMG_1472581935013Mr and Mrs Mkapa wakiingia kanisani huku wakisindikizwa na watoto wao, in-laws, na wajukuu wao!
FB_IMG_1472582195775-1Wakiombewa na kuvalishana pete ya nadhiri ya miaka 50 FB_IMG_1472581863184Wow! Walipokea cheti maalum toka kwa Papa huko Vatican! What an inspirational event! God bless them abundantly FB_IMG_1472581915382Mambo ya kumbu kumbu
FB_IMG_1472581927971FB_IMG_1472582028994“kodaki” moments kutoka kwa wanafamiliaFB_IMG_1472582170506-1 FB_IMG_1472581967246 Wakisalimiana na ndugu, jamaa, na marafiki kutoka pande zote. Na hapa namuona mstaafu Major General G. Waitara na mkeweFB_IMG_1472581962829 Viongozi mbali mbali wa serikali na dini walikuwepoFB_IMG_1472581947780 Mzee Mkapa akiongea na wageni waalikwa FB_IMG_1472581920432 Watoto, in-laws, na wajukuu waki share cake ya kheri ya miaka 50 ya ndoa  FB_IMG_1472581885545Rais aliyestaafu hivi karibuni Mr Kikwete na mkewe nao walikuwepoFB_IMG_1472582021767Wana familia FB_IMG_1472582005198-1Watu walipendeza sana FB_IMG_1472584021583FB_IMG_1472581885545FB_IMG_1472581989616-1FB_IMG_1472584042266FB_IMG_1472582221172Safi sana!……… Tunawaombea na kuwatakia kheri siku zote ili tuje tushuhudie their ‘Diamond’ anniversary! ………….. Btw, Happy 13th Wedding Anniversary to you Foster and your darling! 37 more years to go to celebrate that “golden” moment! All the best!

One thought on “Picha katika 50th wedding anniversary ya Mr and Mrs Mkapa”

Leave a Reply