alphaigogo.com
Picha zilizo nivutia zaidi - alphaigogo.com
The Makondas! Wamenogaje! Jamani mwanamke mwenye furaha toka moyoni utamuona tu kwenye macho yake! hata tabasamu lake litaonyesha! Ee Mungu linda ndoa hii na uzidi wabaraki siku zote ?The Obamas! Jamani, tuta wa-miss hawa love Bird ?? Dah! But after last night debate I'm prepared to see the First Female President of United States of America ? Mungu awajalie
Alpha Igogo