alphaigogo.com
Please Vote for Ali Kiba…! - alphaigogo.com
Mimi nimeshampigia kura wewe je? Tafadhali weka uzalendo mbele chukua dakika yako moja tu na ulete ushindi nyumbani! Ali Kiba ni fahari yetu sharti tujivunie kwa kuonyesha upendo na ushirikiano wetu kwake! Haya piga kura hiyo!
Alpha Igogo