alphaigogo.com
Poleni sana watani zangu! #Pray for Bukoba #Pray for Kagera - alphaigogo.com
Watani zangu, poleni sana kwa maafa yaliyo wakuta! Tupo pamoja wapendwa, Mungu awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu!....... Naomba mkumbuke yakuwa sisi Wajaluo tu wakarimu sana hivyo kama huko si salama kuishi basi wala msisite! Kuweni huru kabisa kuamia UJALUONI tutawapokea kwa moyo mkunjufu ?? Jamani wee Muhaya vipi? Siye wajaluo tukitupa jongoo huwa hatutupi na mti wake you just never
Alpha Igogo