alphaigogo.com
Prayer is a weapon! - alphaigogo.com
Maombi ndio silaha! Hauitaji kukesha kanisani ndo maombi yako yasikike, hapana! Hata ukiwa unatembea omba kimoyo moyo! Hata ukiwa unaoga wewe omba tu na maombi yako yatasikika! #Usikate Tamaa
Alpha Igogo