alphaigogo.com
Pumzika kwa amani Mh. Celina Kombani! - alphaigogo.com
Kwa makasikitiko makubwa sana, naomba nitowe salama za pole kwa familia ya marehemu Waziri Celina Kombani na Watanzania wote walioguswa na msiba huu. Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema apate kuwatia nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Kwa walio wengi ulijulikana kama mwanasiasa wa chama cha Mapinduzi, na mfanyakazi wa Umma lakini kwa familia ya Otieno Igogo wewe ulikuwa sehemu
Alpha Igogo