alphaigogo.com
“….punguza kiburi, si ujanja kumnyanyasa mtu anayekupenda kwa dhati” Iddi Makengo Jr - alphaigogo.com
Mwanamke anapokuomba msamaha baada ya wewe kumkosea usidhani ni mjinga, usijipe kiburi kwa kudhani labda hajui anacho kifanya, usivimbe kichwa na kujidanganya kua labda huyu hana pakwenda ndiyo maana ananinyenyekea. Usijisahu na kurudi kosa lile lile kisa unajua kuwa atakuomba tena msamaha na wala usijisifu kwa tambo kuwa wewe ni mjanja zaidi yake. Anakuomba msamaha kwasababu anfaahamu thamani ya ndoa
Alpha Igogo