alphaigogo.com
“Put God first in everything you do! Don’t afraid to fail big! Don’t just aspire to make a living, aspire to make a difference!” ~~ Danzel Washington - alphaigogo.com
https://youtu.be/-nF92WcPyUE Sorry kwa msioelewa hii lugha, nakuomba utafute mtu anayeweza kukutafsiria........Kiufupi katika maisha kufeli shule sio kufeli maisha! Shule ni muhimu sanaaaaaa lakini shule siyo kila kitu! Kumbuka kuwa hizo grade za kufaulu mtihani imewekwa na mwanadamu ambaye hajui Mungu ameumba ubongo wako katika ubora upi! Labda ungekuwa unafanya somo moja moja kila mwezi huwenda ungevuka viwango vyao. Hivyo mtu asikukatishe
Alpha Igogo